siku arobainai .
ni siku ambayo niliingoja sana katika maisha yangu
japo nimepata bahati mbaya ya kuondokewa na kaka yangu kipenzi
SEPH MDOE . bado moyo wangu unafarijika kwa hili
R.I.P my brother najua ya kuwa wewe ni moja kati ya waja bora
mbele ya mungu kwani ulijitahidi kufanya ibada kwa karibia
maisha yako yote, mungu atakulaza mahala pema peponi
you know
I LOVE U SO MUCH
ila usijali kaka mimi naamini ntakuwakilisha katika kila jambo ulilo jaribu kulifanya mimi nitakuwepo kulimalizia
INSHAALLAH
umeondoka lakini amekuja
SABRINA
unamjua SABRINA
kama una nafasi ya kumuombea aje awe moja ya watu wakubwa kwenye
dini yetu INSHAALLAH
nampenda sana
SABRINA
No comments:
Post a Comment