Tuesday, 18 January 2011

Ninayo furaha kubwa sana mimi Jabiri Yusuph mdoe
 nikishirikiana na kampuni ya TRUE IMAGE  ENT.
tunakuletea muendelezo wa  filamu  ya DARKNESS NIGHT  II

  hii ni filamu inayokuja  kufanya mapinduzi ya tasnia ya filamu ndani ya nchi yetu na Africa kwa ujumla.
 lemngo la kutengeneza filamu hii   ni kwa ajili ya kumalizia  namba 1 ya filamu hii   ambayo ilitoka kama miaka mitatu iliyopita

 kuna mtiririko wa filamu  nyingi   kama

kajala    amabayo hii ndio itakayofuatia.

1 comment: